Kikhetrani

Kikhetrani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakhetrani. Idadi ya wasemaji wa Kikhetrani imehesabiwa kuwa watu 4000 (mwaka wa uhesabu haujulikani). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhetrani iko katika kundi la Kiaryan.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search